Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ilikua fiber internet ???😳😳😳4mbs bado ndogo sana.. nishanya kazi sehemu mzigo ulikuwa unatembea hadi 500mbs ndio walinifanya kuchukia internet ya mwendo kobe..
Dr Lizzy fanya namnaaaView attachment 2630757
Hii kwa matumizi yangu sio mbaya sana...
🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Ngoja Mjep alete kale kafurushi 💰 tuone kama zinatosha!!!