Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Baadae ni juma3 🤣🤣sasa mbona unawahi kutoka 😂
Baadae ni juma3 🤣🤣sasa mbona unawahi kutoka 😂
Pitia hapa nikugawie bundle....Ni muda wa kulala 🥳View attachment 2630738
Akili hawana hivi kweli Mzungu wa kumvunjia nazi ??,😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie sitaki kucheka lol.
Khaaah kazi ipoo
Wanachekeshaa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili hawana hivi kweli Mzungu wa kumvunjia nazi ??,[emoji23][emoji23][emoji23]
kuwahi porini😂 kazi unayoBaadae ni juma3 🤣🤣
Washa kindege ulale 😂😂 au ndio kunakuchaPitia hapa nikugawie bundle....View attachment 2630750
😂😂 ndio nishakuwa mkubwa sasa, nitafanyajekuwahi porini😂 kazi unayo
tafta mubaba usiteseke sana 😂😂😂 ndio nishakuwa mkubwa sasa, nitafanyaje
Sitaki mubaba 😂tafta mubaba usiteseke sana 😂
Nimejikaza muda...naogopa kulala bila kufaidi WiFi ya jirani vizuri! 🥱😁Washa kindege ulale 😂😂 au ndio kunakucha
Navipenda vipicha hivi.. kuna vitu una imagine tuPicha ina tafakuri nyingi sana hiyo 😂😂😂
Kesho si ukiamka utaikuta? Au jirani akitoka saa 11 alfajiri, kurudi ni usikuNimejikaza muda...naogopa kulala bila kufaidi WiFi ya jirani vizuri! 🥱😁
kweli we ni wa arusha😂 #no romanceSitaki mubaba 😂
Hapo ukifika Thurs umejibana sana!Njoo tumuibie jirani yangu!!!!😶🌫️😶🌫️sioni kama natoboa hii wiki na hili bundle.. nineliweka ijumaa na nilikuwa busy.. ila lina drop . andae lingine unipunguziView attachment 2630754
Napenda sana speed kubwaa aiseee.. wifi naona kama najibana.. hili usiku nalimaliza kuna kazi nahisi nikianza fanya mzigo unakata 😅😅Hapo ukifika Thurs umejibana sana!Njoo tumuibie jirani yangu!!!!😶🌫️😶🌫️
Nasemaa...tumemshusha vyeoMacho yake yametua pengine 😂😂😂
🤣🤣Kesho si ukiamka utaikuta? Au jirani akitoka saa 11 alfajiri, kurudi ni usiku
Hii ya jirani si haba! Kuna muda inajisikia kwenda mpaka 4mb/s 🙂Napenda sana speed kubwaa aiseee.. wifi naona kama najibana.. hili usiku nalimaliza kuna kazi nahisi nikianza fanya mzigo unakata 😅😅
4mbs bado ndogo sana.. nishanya kazi sehemu mzigo ulikuwa unatembea hadi 500mbs ndio walinifanya kuchukia internet ya mwendo kobe..Hii ya jirani si haba! Kuna muda inajisikia kwenda mpaka 4mb/s 🙂