Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Hakunaaaaaaaaaaaau Kuna kitu inashinda iyo mambo mkuu? haha
Hakunaaaaaaaaaaaau Kuna kitu inashinda iyo mambo mkuu? haha
⛽️Hakunaaaaaaaaaaa
Upoje🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo kakaView attachment 2630837
Twendeni kibiti
Nini mbaya 😂😂Upoje🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza umeanza lini hizo tabia ?“matumizi mabaya ya herufi.Hakunaaaaaaaaaaa
⛽️ ndio naelekea.Mbaya huoni?😂
Acha ukorofi
Naonyesha msisitizoKwanza umeanza lini hizo tabia ?“matumizi mabaya ya herufi.
Ungeandika tu hakuna?
isingesomeka? We mwanamke wewe!! Utaweza kweli maisha ya bajeti 😂😂
DT 😂Naonyesha msisitizo
Ningeandika tu hakuna asingenielewa vizuri chenye namaanisha😂
🤣🤣 Tunakuja, ole wako utupunje sasa⛽️ ndio naelekea.
Mlete virikuu vyenu 🚶♀️
Nikiwaona🤣🤣 Tunakuja, ole wako utupunje sasa
Hahahaa umeamkaje leo we binti kwani🤣DT 😂
🤣🤣🤣Nikiwaona
Naanzia kucount lt 6,, si hamna mnalolijua 😂 sasa kama ndo ulikuja na kielfu 30 uweke lita 10. Utajijuwa
Nimeamka salama, bwana ako hajamboHahahaa umeamkaje leo we binti kwani🤣
Yuko poa, anakusalimia sana shem darling wakeNimeamka salama, bwana ako hajambo