Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] citizen inanipaa rahaaa, afu bado FA tutachukua kwa manyumbuu, na UEFA yetu tutaichukua kwa Air Milan,

Tukutane Istanbul, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea Istanbul nikakumbuka ule usiku wa mwaka 2005 nikakumbuka ule usiku baada ya zile goal 3 ndani ya dk 10 nikavua t-shirt la shule nikafunika TV ilikuwa Muhimbili Hospital aisee nilipigwa kwa kibaka wa simu na Mashabiki wa Nyumbu. My fellow Students at Azania 🤣🤣🤣
 
Umeongea Istanbul nikakumbuka ule usiku wa mwaka 2005 nikakumbuka ule usiku baada ya zile goal 3 ndani ya dk 10 nikavua t-shirt la shule nikafunika TV ilikuwa Muhimbili Hospital aisee nilipigwa kwa kibaka wa simu na Mashabiki wa Nyumbu. My fellow Students at Azania [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee sanaaaa.

Mie ile final ya citizen na chelseaa UEFA, nyie nililia km mwehu, nawachukia Chelsea hadi leo.

Kwanza tukiwa tunakutana nao natamanigi tuwabondee haswaaa, kwan leo walivyotupa heshima rohoo kwatuuu, na tumewachapaa kimokoooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimoko kwa afya 😂😂😂
 
Back
Top Bottom