Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mikono inatetemeka😂 huoni huyo mkubwa tushammaliza....
Ni muda wa kulala 🥳
09B36AD3-85A0-47BB-99FC-72844150EB38.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningeshaingia kwenye uraibu wa kubett, yule Kaka alitaka kunipotezaa kabisaa lol. Nashukuru niliepuka mapema
Kubet ni diet wewe 😂😂😂
Una 2000 unaanza kuigawanya. Buku uipeleke kwa Mhindi jero ule mihogo na jero jingine ununue maji halafu unaanza kutembea maana inakuwa umeshaipeleka kwa Mhindi ukitarajia hilo buku likuletee 120,00😂😂😂
 
Kubet ni diet wewe 😂😂😂
Una 2000 unaanza kuigawanya. Buku uipeleke kwa Mhindi jero ule mihogo na jero jingine ununue maji halafu unaanza kutembea maana inakuwa umeshaipeleka kwa Mhindi ukitarajia hilo buku likuletee 120,00😂😂😂
Mna kazi sana
 
Kubet ni diet wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Una 2000 unaanza kuigawanya. Buku uipeleke kwa Mhindi jero ule mihogo na jero jingine ununue maji halafu unaanza kutembea maana inakuwa umeshaipeleka kwa Mhindi ukitarajia hilo buku likuletee 120,00[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna rafiki angu aliingizwaa mkenge na bwana ake, eti akasema waweke 30k kwa kubett kuna hela nyingiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilichofataa shemelaa alichaniwa shati ktk kugombanaaa.
 
Jana mida ya saa 7 usiku nashuka kwenye daladala Kuna wajinga walikuwa wanavunja nazi kwenye ofisi ya betting [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mie sitaki kucheka lol.
Khaaah kazi ipoo
 
Back
Top Bottom