Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eh wanajikuta sana , mie sina pesa ndo maana nakuuliza mara mbili shs ngapi mapema .

sio hao tu siku nimemuagiza boda aniletteee mzigo toka home hadi nilipo kapaona mbali kweli

kufika anaongeza elfu tano nilimwambia sikupi 😂😂 labda akupe mzee na sio mimi 😂😂 . nilikaza sana kwa yule boda
Wanaringa sana, dawa ukipata angle ya kumkazia, unakaza kweli
 
IMG_8597.jpg

satoo day
 
Wanajua wadada wote wana hela za kucheza .

ni kama ukienda kariakoo wakiona tu unazunguka wanakufuata kukueleza baada ya hapo uwape ya soda
Washajua pia ni Wavivu wa kubargain, wengine wapenda short cut. Wanatuponza na sie ma hard core 😂😂

Au stand. Pale stand kubwa uwa nachukia sana, muda mwingine mtu unatembea unaelekea dukani. Ila wapiga debe mabus washakufata.
Sawa wanatafuta ridhiki, lakini wengine unakuta hajakaa kimkao wa kusafiri ila kumzonga sasa 🙌
 
Wanakera vibaya mno 🙌
 
Ah wanazonga sana aisee
yaani mtu umeenda kununua kigauni chako kimoja lakini unavyofatwa , tukupeleke wapi 😂😂.

hao wa stendi , wanakera kila saa dada wapi hiyo Tanga , morogoro au dodoma . kero tupu
 
Back
Top Bottom