mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
umeshafika eneo la tukio??Tuma namba
M pesa kuna mia 2
umeshafika eneo la tukio??Tuma namba
M pesa kuna mia 2
Me ndio maana sipendi kwenda mjini.Wanakera vibaya mno 🙌
Kwanini huna gari?Washajua pia ni Wavivu wa kubargain, wengine wapenda short cut. Wanatuponza na sie ma hard core 😂😂
Au stand. Pale stand kubwa uwa nachukia sana, muda mwingine mtu unatembea unaelekea dukani. Ila wapiga debe mabus washakufata.
Sawa wanatafuta ridhiki, lakini wengine unakuta hajakaa kimkao wa kusafiri ila kumzonga sasa 🙌
bado hamtishi....😂 mdada anaetisha ni mwenye sauti ya baseheheee tunaweza
sura zenyewe za baba ni unakata mtu jicho moja matata .
ngoja mtakuja kuomba kazi ofisini kwangu😂
Tukija usitutose totoongoja mtakuja kuomba kazi ofisini kwangu😂
hujui sie soft voice ndo tuna makelele hadi utaomba poobado hamtishi....😂 mdada anaetisha ni mwenye sauti ya base
Jaman basi uje mapema uanzie breakfastbora hata... nateseka huku nashindia ndizi mbivu😂
Nimezima.umeshafika eneo la tukio??
📸Tuselfike basi.
mimi kijana wa android sijui kituIos 16.5 ushaidownload?
Nataka nijue ina nn cha maana
Mungu anapenda style yangu ya kutembea 🤭Kwanini huna gari?
Kama base langubado hamtishi....😂 mdada anaetisha ni mwenye sauti ya base
miguu imelegea au nini 😂Nimezima.
Hatujasoma lawngoja mtakuja kuomba kazi ofisini kwangu😂
🤣🤣🤣 EehMungu anapenda style yangu ya kutembea 🤭
mnahangaika sana... wekeni review mbaya kwenye hizo apphujui sie soft voice ndo tuna makelele hadi utaomba poo
tunaita nzi