Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uber yenu hiyo watu wa Dar, poleni.

Sisi huku hatuna mambo za foleni.. kama naenda hapo, dereva atachagua apite juu au chini.
Mna raha huko aisee yule dereva sina hamu nae , tulichelewa kufika na bado analalmika .

nikiwa na mishe napanda bajaji najua ni fixed .

kama siku naenda kigamboni dereva uber ananiambia kuna kulipia pale darajani , nikamwambia ongea na aliyekuita 😂😂😂
 
😂 mbona wanawakomesha.

Kuna wakati huko nyuma nilikaa Sakina. Kuja Town ilikuwa buku 3 mara buku 4/5.
Ndio maana nimeizoea sana indrive.. mm sio mtoto wa fogo. mshamba_hachekwi
Kuna wakati kutoka Sakina kuja Town na mashost tunatembea au indrive. Mara toyo 😂
Daladala nilikuwa napanda asbh tu sbb ya kuogopa baridi
 
So here we stand in our secret place
Where the sound of the crowd is so far away
You take my hand, and it fees like home
We both understand, it where we belong
So do I say, do I say goodbye
We both have our dreams we both want to fly. So lets take tonight, to carry us through the lonely times
Naona umeamua kuwa westlife 😎
 
Back
Top Bottom