Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Ndiyo 😂😂ndo umetoka tanapa??
Kisongo 1 hiyo.
Nilienda kumsalimia baba mkwe wake ms Eyes
Ndiyo 😂😂ndo umetoka tanapa??
Za wapi hizi????🤤🤤Early lunch Dr Lizzy View attachment 2628538
Panaitwa Cafe Robusta 😋Za wapi hizi????🤤🤤
Hata simjui.Hahaa hata sijui
Msalimie dereva
Msalimie hivyo hivyo 😅Hata simjui.
Ni wa Indrive.. aka uber 😂😂
KashanimwagaMsalimie hivyo hivyo 😅
Guu hilo 😍Ndio mnasema ukifanya kazi mpk jmos hauko kazini ila kibaruani? Lenie 😂View attachment 2628714
Vitengo maalumu tumekuja kumalizia spesho task.Guu hilo 😍
Watu wa ofisini kazi mwisho ijumaa, mambo ya kwenda jmos huko ni kibaruani.
Si eti eeh Jack Palladino
Inabidi nikija huko nikawatembelee!🙆🏾Panaitwa Cafe Robusta 😋
watu mna hela....Ni wa Indrive.. aka uber 😂😂
Weekend ni siku ya kurelax na kuenjoy na familiaVitengo maalumu tumekuja kumalizia spesho task.
Tia maji tia maji mko nyumbani 😂😂😂😂
Unaona sasa tia maji tia maji 😂😂Weekend ni siku ya kurelax na kuenjoy na familia
Ziko wapiwatu mna hela....
si hizo za ku-order indrive😅Ziko wapi
Mpigie mtu uliyemuacha huku. Muulize jua leo linawakajesi hizo za ku-order indrive😅
ah wapi daladala nauli haizidi 1200, we wakishuaMpigie mtu uliyemuacha huku. Muulize jua leo linawakaje
Unaweza kuzimia huko njiani