Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,867
Dala mpk kisongo go & return ni 2000ah wapi daladala nauli haizidi 1200, we wakishua
Dala mpk kisongo go & return ni 2000ah wapi daladala nauli haizidi 1200, we wakishua
Shwaaa shwii😂❤️, Naona hukutaka kumuacha mrembo salamaMs eyes 😂😂 nimepitapo shwaaaaa, kijiji cha wala shisha View attachment 2628653
Ni balaa 😅🙌Hahahaha, wanaacha kukupa majibu,wanakukimbiza wodini
😂😂 katoka zake sokoniShwaaa shwii😂❤️, Naona hukutaka kumuacha mrembo salama
huwa nikiwasikia jamaa wanasema ukimwi kama gonjwa lingine, ikifikaga kipindi cha kupima hiyo kauli huisha hadi kidomo hukaukaHahahaha, wanaacha kukupa majibu,wanakukimbiza wodini
Namuona na jeans yake ya pinkiiiii😂❤️ lady in pinkiiii 😎❤️😂😂😂 katoka zake sokoni
Wengi wa hivyo huwa ni kujipa matumaini fake tu, ila uhalisia wake unatisha 🙌huwa nikiwasikia jamaa wanasema ukimwi kama gonjwa lingine, ikifikaga kipindi cha kupima hiyo kauli huisha hadi kidomo hukauka
Hivi karibuni nimepima pima sana, kuna siku nimekaa na Dr mmoja alikuja kupima ofisi , huwa nina utani nae kapima .. kanipima akanitolea macho hivi, nilitetemeka 🤣🤣🤣 alafu akasema mbona unao huku kanikazia macho nilikuwa naongea huku natetemeka then akanionesha majibu hapo jasho limetoka tayariWengi wa hivyo huwa ni kujipa matumaini fake tu, ila uhalisia wake unatisha 🙌
I'll always look back as I walk awaye, memories will last for eternity, and all of our tears will be lost in the rain. When I found my way back to your arms again. But until that day, you know you are the Queen of my heart.
Hahahaha..........angekuua kwa presha aisee 😅Hivi karibuni nimepima pima sana, kuna siku nimekaa na Dr mmoja alikuja kupima ofisi , huwa nina utani nae kapima .. kanipima akanitolea macho hivi, nilitetemeka 🤣🤣🤣 alafu akasema mbona unao huku kanikazia macho nilikuwa naongea huku natetemeka then akanionesha majibu hapo jasho limetoka tayari
kwa second kadhaa nilianza waza wapi nimeuza mechi.. wapi.. maaana mda sana sikuwa nimecheza mechi na mbaya zaidi kina staff mmoja alikuwa kawakaa maana ndio nilikuwa incharge wa team kuna vitu ilikuwa lazima nivijue.. hiyo kitu isikie tu kwa media ila isikukute 😅😅Hahahaha..........angekuua kwa presha aisee 😅
Ukikumbuka uliuza mechi hivi karibuni ndiyo balaa zaidi 🤪
sijaelewa....mshamba_hachekwi We go together like drunk and disorderly.
Remember that if we ever get caught, you're deaf, and I don't speak English.sijaelewa....
tukikamatwa kwasababu ya....Remember that if we ever get caught, you're deaf, and I don't speak English.
weekend imeenda vizuri umeshalewamshamba_hachekwi Prepare for trouble, and make it double
We'll always be friends because you match my level of crazy.weekend imeenda vizuri umeshalewa