Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna raha naipata nikinywa a cup of Nescafe gold coffee mixed with Nido. Tofauti na nikinywa li instant coffee 😂😂 Chakorii
😁😁😁
12CABCCE-9649-4B1C-82C5-D376949180D1.jpeg

Karibu tupunguze uchovu Dee
 
Ubaya yanahitaji uchochezi.

Na kwa electric pressure cooker yatahitaji kuongeza dk.

Tabu sana
Mbona kuna yale maji na mkaa mara 1. Tafuta sufuria zito na kubwa (aluminium ni mazuri zaidi) loweka for 15 min yaweke jaza maji jaza mkaa ukalale, yakiungua nakurudishia pesa yako
 
Back
Top Bottom