mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
kweli leo umeamua.... ila si weekend😅Hii namaliza mwenyewe...
kweli leo umeamua.... ila si weekend😅Hii namaliza mwenyewe...
na wewe unatumia??Kwenye caption kashasema "life is too short" 😅
Yah weekend nikulewa tukweli leo umeamua.... ila si weekend😅
Mwenzako huko yupo kulewa mbege ya viaziYah weekend nikulewa tu
Kwa kiasi chake mara nyingi nikiwa na wanana wewe unatumia??
tunaochemshia kwenye thermos jeMbona kuna yale maji na mkaa mara 1. Tafuta sufuria zito na kubwa (aluminium ni mazuri zaidi) loweka for 15 min yaweke jaza maji jaza mkaa ukalale, yakiungua nakurudishia pesa yako
Thermal flask ni poa pia but kama inaweza maintain joto lile lile for more than 12 hours,, which kinda impossibletunaochemshia kwenye thermos je
ni kupata isiopoza .Thermal flask ni poa pia but kama inaweza maintain joto lile lile for more than 12 hours,, which kinda impossible
Nice trick[emoji16]ni kupata isiopoza .
huwa naloweka kwanza for 2 hours then nakuja kuweka .
hadi njugu mawe inaiva
Shem darling unaua kabisa....Mwenzako huko yupo kulewa mbege ya viazi
Inatoka rojo kabisaNice trick[emoji16]
Kunywa pole pole usinimalizie😋Life is too short guys!...tuendelee kulewa!View attachment 2628578
ukiona naharibu nistue😅Kunywa pole pole usinimalizie😋
Weka simu sauti tasavali🤣ukiona naharibu nistue😅
kosa langu kwako ni nini we mwanamke....Mwenzako huko yupo kulewa mbege ya viazi
Nipo onlineWeka simu sauti tasavali🤣
Aliyebuni fav combo peponi moja kwa moja 🥳ðŸ¤Mimi je..??
Imagine unaamka zako unakutana na kapicha ka ubwabwa rage kanakutazama kwa maqhaba kabisa.
Nambariki sana alokuja na hii combination ya ubwabwa rage..!!View attachment 2628580
ndo umetoka tanapa??Lenie Treat box pizza Hut sh ngapi 😂😂😂View attachment 2628673