Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Yani hawaishi kutusakama.Bora uwaambie jamani, wanatusonga sana kha 😅
Alafu waweke picha waache maneno mengi. Huu uzi wa selfika,watag wake kuweka picha hapa.
Yani hawaishi kutusakama.Bora uwaambie jamani, wanatusonga sana kha 😅
AkusimangeAnichambe? Una maanisha nini?
Mimi nimebongeka kama pipaYa Jr hayaa dear mi nishaacha kula mayai nina zoezi la kupunguaa kuwa kama Saint Anne !
Jana nimetoka kazini asubuhi (nilikuwa night shift) nikapitia tandika kucheki nguo za mtumba. Mimi Ni pointer pia ukiachana na kazi ya ajira ninayofanya,siwezi kuacha hii kazi maana nilianza kuwa pointer wa nguo na kuwatembezea wateja tangu nikiwa chalii.Ninunulie track basi dear
Depal ye ataninunulia raba
hapo alijua kuwanyoosha
hako katoto ni kagenius toka tumboni
Wacha maneno weka picha.Si yaliahaishaga au?
Dooh kumbe nimechelewa kutuma request jamanJana nimetoka kazini asubuhi (nilikuwa night shift) nikapitia tandika kucheki nguo za mtumba. Mimi Ni pointer pia ukiachana na kazi ya ajira ninayofanya,siwezi kuacha hii kazi maana nilianza kuwa pointer wa nguo na kuwatembezea wateja tangu nikiwa chalii.
zilitoka track Kali sana alafu Bei mzuri. Ila sikununua hata moja maana Sina wateja wemgi wa track.
Vipi habari ya huko ??Nimependa
Unavaa namba ngapi?Dooh kumbe nimechelewa kutuma request jaman
Utapitia lini tena ili unichagulie track nzuri za mazoezi
Nakazia.
Me niko medium size. Sio mnene wala sio mwembambaUnavaa namba ngapi?
Upo Ti?Vipi habari ya huko ??
Si ndiyo uweke picha ili nione hiyo size ya siyo mnene,siyo mwembamba. 😀Me niko medium size. Sio mnene wala sio mwembamba
Hahaa nitaweka soon, usilaleSi ndiyo uweke picha ili nione hiyo size ya siyo mnene,siyo mwembamba. 😀
Hivi kuna mtu anataka picha yako?🤣🤣Hahaa nitaweka soon, usilale
We mwenyewe unaitaka hapo ulipo😛Hivi kuna mtu anataka picha yako?🤣🤣
nipo MkuuUpo Ti?