Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,269
Limao za nini kwenye mihogobreakfast......
View attachment 2628367
Weka chachandu hapo wakishua
Limao za nini kwenye mihogobreakfast......
View attachment 2628367
Wakishua hawali mihogo wewe😂Limao za nini kwenye mihogo
Weka chachandu hapo wakishua
Najua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungojaWakishua hawali mihogo wewe😂
Vitu napendaga 😋breakfast......
View attachment 2628367
Huogopi kitambi??Vitu napendaga 😋
Cha wali arage😂Najua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungoja
Windshield ina crake. Ngoja nimtonye traffic wa mbele hapo awadake![]()













Kuna shangazi asiye na kitambi?Huogopi kitambi??
Ahaa umebadili kivazi 🤣🤣Toka pepo![]()
sasa mbona jana niliona picha uko gym😅Kuna shangazi asiye na kitambi?
Ninacho kimejaa tele hapa
hapana mtanicheka....Usisahau picha ya ubwabwa rage in Carleen voice.
Sitacheka. Napenda wali maharage jamani 😍😋hapana mtanicheka....
Ndio napambana kukipunguza, maana kimezidi hadi kinanilemeasasa mbona jana niliona picha uko gym😅
na mashavu juu😂Ndio napambana kukipunguza, maana kimezidi hadi kinanilemea
Hiyo ni aina ipi ya maharage? Nimependa wekendu wake
Ndiwoooooona mashavu juu😂
mi sijui kitu sipiki mimi 😅Hiyo ni aina ipi ya maharage? Nimependa wekendu wake