Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Amka ukafue 😂Nililala saa tatu nimekuja kushituka saa nane na usingizi umekata. Kulala mapema sio ishu kabisa 😂
Amka ukafue 😂Nililala saa tatu nimekuja kushituka saa nane na usingizi umekata. Kulala mapema sio ishu kabisa 😂
Basi uje kula mihogo pakikucha vizuri 😁Sijala 😋😋
Nipomaliza kula zile korosho, nikaanza kama kusinzia. Nikahamia kitandani, nikasema nitaamka kuangalia jua kali.
Wapii ndio naamka sahivi 😂
Nimeamka tena. Nimemiss mihogo 😍Basi uje kula mihogo pakikucha vizuri 😁
Ila kuna raha flani hivi unapata ukilala mapema!🙂
Windshield ina crake. Ngoja nimtonye traffic wa mbele hapo awadake 😂
Captured with Google Piii 😂😂Za Asubuhi, Majirani zangu.
View attachment 2628358
Umbea tu! 😄
😂😂😂 umbea usioumiza ni tibaUmbea tu! 😄
Limao za nini kwenye mihogobreakfast......
View attachment 2628367
Wakishua hawali mihogo wewe😂Limao za nini kwenye mihogo
Weka chachandu hapo wakishua
Najua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungojaWakishua hawali mihogo wewe😂
Vitu napendaga 😋breakfast......
View attachment 2628367
Huogopi kitambi??Vitu napendaga 😋
Cha wali arage😂Najua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungoja