Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Madam mi silo hivyo, kwanini nimchezee mtoto was mtu Kama Sina mipango naye??Siku moja mkaka kanisani kasema hivi yeye haoi maana huduma zote anapewa kbla ya ndoa , ndo maana haoni haja kuvuta jiko .
Mnajisevia mnavyotaka ndo manaa hamwazi hata 😂
👉Bora niwe single tu, nipambanie kampuni zanguu