usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,097
C n keyboard imenifanyia vituko😂Sio kulewa ???
C n keyboard imenifanyia vituko😂Sio kulewa ???
Vigezo vipi ??Hii shingo naona imekidhi vigezo vyote
Pamoja na yote lazma kutakua na mmojaEndele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu 😂😂😂
Stress ngumu ila ukichukuwa upweke nao zinazaliwa stress Kwa kifupi bila bila😂😂Kaa hapo katikati
Beba vyote 😂😂😂😂
Hailet pressure wala mawazoVigezo vipi ??
Ngoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu 😂😂😂
Ewaa muhimu sana hiyoHailet pressure wala mawazo
Bora kupambana na vyoteStress ngumu ila ukichukuwa upweke nao zinazaliwa stress Kwa kifupi bila bila😂😂
katangaze nia kule MMU 😂Nakaza shingo tu kama hivi 😂😂
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti 😂😂😂
Afunge mkanda kwelikweli siku moja anaongea njiani pekeyake siku mojamoja atalewa,siku zingine ataenda kusalimia nyumbani anakaa mwezi 😂😂akishtuka miaka ishaenda ametimiza agizo la MunguPamoja na yote lazma kutakua na mmoja
Atakaye vumiliwa na hzo stires😂
OkayC n keyboard imenifanyia vituko😂
Kabisa na upweke na stress baba mmoja mama mbalimbali😂😂Bora kupambana na vyote
Sema upweke n tatzo Zaid ukizidisha😂😂
Yaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufu😂😂😂Ngoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .
wanaume wote hawakuoni ile umepata tu baby unajikuta upo kwenye dilemma kaja tena mwingine , wote unawataka 😂😂
Haa haa sahihi kabisaKabisa na upweke na stress baba mmoja mama mbalimbali😂😂
Hapaana aiseekatangaze nia kule MMU 😂
😂😂😂😂Utakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingine😂😂😂Kuna wakat nlikaa single!
Ila kila mwanamke nlimuona mzuri had wamama😂😂 upweke hapana😂😂😂😂
Na nyie mnatupangaje?
mbona unajing'ata😂 si umesema unataka mubaba??Hapaana aisee
Humu siwawezi
Kwanza naupenda usingle , hupati mawazo 😂😂😂
Acha kabisa 😂😂😂😂😂😂 kila alie mbele yako unamuona mzur yaan unaeza gongwa barabaran Kwa kugeuka kuangalia mliepishana😂😂😂😂😂😂Utakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingine😂😂😂