😂😂😂😂😂😂raha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti 😂
Hatuwapangi hats 😂😂😂Na
Na nyie mnatupangaje?
Mgande anaeonesha kukuganda dear mbona utaenjoy!💃🕺Asikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu 😂 ama nene
Yaani hupendezei kupoaHebu muitee nimchambeee jamani, nimemis kucharuanaa nae, maana nimepoaa hadi najiogopaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgandano heavy maana iyo Tena Decembet Cha kufia Nini😂😂😂Na hiv tunaenda June yaaan n mgando mngando mpaka kieleweke😂
Shauri yako 🤠😂😂😂😂Nitakufa kiume😂😂😂
Kweli dear kama huenjoy mapenzi na mwenzako jamni na unaishi nchi ya tozo utaishije sasa😂😂😂jua lilivo KaliMgande anaeonesha kukuganda dear mbona utafurahiaa!!💃🕺
Shida zipo Tu pale pale ila KwanzaMgandano heavy maana iyo Tena Decembet Cha kufia Nini😂😂😂
Ulituma? NiitafuteNitume ya eneo gani 😂😂😀😀😀😀
kosa langu mimi kwako ni lipi labda....Mwanaume una lips mzuri uho ni umama
Akili zako unazijua mwenyewe wewe😂😂😁!!Hebu muitee nimchambeee jamani, nimemis kucharuanaa nae, maana nimepoaa hadi najiogopaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha anza tu 😂😂😂Acha nianze kampen ya kukuondoa hapo😂😂
Nishtue na yako my wangu, kisha nakuelekeza zangu zilipo 😂😂Ulituma? Niitafute
Unaweka vitu moyoni dear acha yapite usijihukumu Kwa makosa sio Yako mtu ulimpenda hakupenda Kosa lako hapo nn?Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi 😂😂
😀😀😀nielekeze kwanza ndo napitia leo huu uzi etiNishtue na yako my wangu, kisha nakuelekeza zangu zilipo 😂😂
Tin🤣🤣🙌Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi 😂😂
Mie ambacho sipendi kupigiana simu saa tano usikuraha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti 😂
Si ndo hapo Sasa 😂😂Shida zipo Tu pale pale ila Kwanza
Mapenz yatupe Raha😂😂😂😂