Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
At least MTU ajue hawezi kukuchezea .Kweli maneno nayo ni silaha tosha 🤣🤣
Nina kasura ya upole ndo kinachonisave hahaha .
At least MTU ajue hawezi kukuchezea .Kweli maneno nayo ni silaha tosha 🤣🤣
Kipindi cha pili itakuwa Man City 2- 4 Real Madrid.Man City 2 – 0 Real Madrid
Basi nilikuwa nakuonaga mkimya sana, nikakumbuka kwenye huu uzi ulifunguka sana siku hiyo nikasema kumbe kasura kaupole ila maneno unayo 😅At least MTU ajue hawezi kukuchezea .
Nina kasura ya upole ndo kinachonisave hahaha .
Hapo kwa RMA itabaki 0 hiyo 4 ihamishie kwa Man CityKipindi cha pili itakuwa Man City 2- 4 Real Madrid.
😀😀Ni kama upite mwenge hujasuka unakereka kila unapopita wanakuambia njoo usuke dada
Hahaha nimekumbuka , nilikuwa wild 😂😂😂Basi nilikuwa nakuonaga mkimya sana, nikakumbuka kwenye huu uzi ulifunguka sana siku hiyo nikasema kumbe kasura kaupole ila maneno unayo 😅
View attachment 2625796
Hehehe nipo na mnyoosho wangu halafu mnaniita 😂😂😂
Inakera alafu bas tuHehehe nipo na mnyoosho wangu halafu mnaniita 😂😂😂
hahaha jirani jiachie!Hahaha nimekumbuka , nilikuwa wild 😂😂😂
Siku nyingine najachia aisee
Zamani huko ndo nilikuwa mkimya siku hizi nazoom tu macho
Thank you jirani , will dohahaha jirani jiachie!
Raha jipe mwenyewe.
Inakera alafu bas tu
Yeah mnoInakera alafu bas tu
Nyie wenyewe mnatupanga mnatusave majina ya mabenki....
BlackcornshmanHapo kwa RMA itabaki 0 hiyo 4 ihamishie kwa Man City
HahaNyie wenyewe mnatupanga mnatusave majina ya mabenki....
Mbona nyie huwa mnatupanga na kutubandika majina ya ajabu ajabu hatusemi 😀
Sawa na siku ile ulikuwa wild aiseeHahaha nimekumbuka , nilikuwa wild 😂😂😂
Siku nyingine najachia aisee
Zamani huko ndo nilikuwa mkimya siku hizi nazoom tu macho
Hahaha tit for tatMbona nyie huwa mnatupanga na kutubandika majina ya ajabu ajabu hatusemi 😀