Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah wanakera aiseee
Hivi walikuwa wapi

Sasa mtu kama mie siwezi kutoka na watu wawili, lazima nimbwge mmoja .

Nahisii ukiwa na baby unaonekana maana lazima uvutie muda wrote
😂😂Labda lkn ni kuwekana majaribuni tu 😂😂
 
😀Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue 😂😂😂
Hata umenikumbusha ngoja nitafte sleep over ya Leo mapema😂😂😂
 
😀Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue 😂😂😂
Ukiyaendekeza yatakuua kweli ujuee🤣🤣🤣😂😂😂😂!!
 
Back
Top Bottom