usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,100
Uchague upweke au stires😀😀Ila maisha hayo fair😂😂
Unafunga macho unabeba kimoja😂😂😂
Uchague upweke au stires😀😀Ila maisha hayo fair😂😂
I agree with you hasa hapo kwenye 1.Upotevu wa muda na pesaFocus on your goals and motives
👉Tafuta au tengeneza sababu ya wewe kuishi maisha Safi.
👉Ngono huleta nuksi na mikosi
👉 Upotevu wa muda na pesa
👉 Jitafakari Kama unataka kuwa mama Bora au kifaa Cha Ngono kwa watu🤔
Kwa Mungu hakuna fumbondoa ni fumbo gumu sana aisee 😅
Bora stressUchague upweke au stires
Unafunga macho unabeba kimoja😂😂😂
Almost thereKwan dear now Una 30s??
😂😂😂Mbona hakuna chenye afadhaliUchague upweke au stires
Unafunga macho unabeba kimoja😂😂😂
Unaishije Sasa mjini hapo na bby huna 😂😂😂au na Wew unafungua mlango na kugonga mwenyew😂😂Almost there
Ningechanganyikiwa na hata baby sina 😂😂
Nakaza shingo tu kama hivi 😂😂Unaishije Sasa mjini hapa na bby huna 😂😂😂
Beba vyote 😂😂😂😂😂😂😂Mbona hakuna chenye afadhali
DJ mlete na ule wimbo WA diamond nataka kulewa😂😂Bora stress
Kwani si unapooza 😂😂😂😂😂
Shingo nzuri😍Nakaza shingo tu kama hivi 😂😂
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti 😂😂😂
Sio kulewa ???DJ mlete na ule wimbo WA diamond nataka kuolewa😂😂
Hii shingo naona imekidhi vigezo vyoteNakaza shingo tu kama hivi 😂😂
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti 😂😂😂
Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu 😂😂😂Nakaza shingo tu kama hivi 😂😂
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti 😂😂😂
😍😍😍Shingo nzuri😍
C n keyboard imenifanyia vituko😂Sio kulewa ???
Vigezo vipi ??Hii shingo naona imekidhi vigezo vyote
Pamoja na yote lazma kutakua na mmojaEndele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu 😂😂😂