mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,315
- 72,081
endelea kufuata maisha ya mitandaoni, ambayo yako fabricated 😂Hapaana mzee, nataka niwe Kama Nicholas Tesla 😂😂😂 au Mike Tyson😂😂
endelea kufuata maisha ya mitandaoni, ambayo yako fabricated 😂Hapaana mzee, nataka niwe Kama Nicholas Tesla 😂😂😂 au Mike Tyson😂😂
Mi mbona Niko singlee 🤔Ngumu sana
Unakaza tu kama Newton
No mkuuu, I like my goals and objectivesendelea kufuata maisha ya mitandaoni, ambayo yako fabricated 😂
Hahaa nakumbuka ilibidi nifanye huu mtandao siujui , so addictive na ambavyo sio msomaji sasaJf raha sana asee nikiendelea hivi ntakula sup mapema 🤣🤣🤣
jau sana wanasema jamaa alikufa virgin....Ngumu sana
Unakaza tu kama Newton
Kwetu ke tu ngumuMi mbona Niko singlee 🤔
Huo utaalamu unatolewa chuo gani???😂😂Nipo hapa mtaalamu, wa kukaa single mshamba_hachekwi
Heheeee jamaa nunda sanajau sana wanasema jamaa alikufa virgin....
kuna vitu muim sana.... mwenzako elon musk anachakata mbussuNo mkuuu, I like my goals and objectives
nina uhakika alikua anajichuaHeheeee jamaa nunda sana
Aliwezaje wezaje 😂😂😂
Focus on your goals and motivesKwetu ke tu ngumu
Tunajifanya vichwa maji , nipe mbinu .
Shekpeee😂😂nina uhakika alikua anajichua
🚮 🚮 🚮👉Ngono huleta nuksi na mikosi
Angekua huyo dogo hapo just,zipo angekwambia 👉Huo utaalamu unatolewa chuo gani???😂😂
Numegusa maslahi yako😂😂😂🚮 🚮 🚮
Mwamba angetuandikia kitabu kwa nini aliaamua hivyonina uhakika alikua anajichua
Nipo hapa cloning yake😂😂Mwamba angetuandikia kitabu kwa nini aliaamua hivyo
Japo alikuwa na insecurities sana inaonyesha hivyo
dyudyu kazi yake nini sasa...Numegusa maslahi yako😂😂😂
Yani unipe elimu ya kuwa single nipate stress 😀😀alafu nife wasifu wa marehemu uwe alizaliwa akazurura akafa😂😂Angekua huyo dogo hapo just,zipo angekwambia 👉
Njoo nikupe personal education, hutojutiaa😂😂 by kijana wa hovyo mshamba_hachekwi
Madam sikufichi, naenjoy kinyamaa😍😍😜Yani unipe elimu ya kuwa single nipate stress 😀😀alafu nife wasifu wa marehemu uwe alizaliwa akazurura akafa😂😂