and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Umejifunza wapi mtoto wewe???😳😳😳
Unataka na wewe ukajifunze? Usipoteze pesa na muda njoo nikufundishe buree!!😁
Umejifunza wapi mtoto wewe???😳😳😳
Inshallah!!!😇🙂🙂🙂 nitakuletea maombi yangu uombe nipate kazi flani hivii tuwe mabilionea
Tutajua huko huko KCF tukiwa tunakujadili.😁😀😀😀 waganga wenyewe siku hizi wanakula burger na chips kuku.. utapoteza mda tuuu
😀😀 Upepo unabadirika asahivi muhimu unakuwa na vi BTC kadhaaa.. unaweza pata dhari kama flani 1 BTC ilifika hadi $ 65,000+Inshallah!!!😇
Leta haraka, nimemiss kufuatilia mabadiliko ya exchange rate. 😁😁
😛😛 huku mganga anapata na mojito...Tutajua huko huko KCF tukiwa tunakujadili.😁
Nataka niwazingue!!!View attachment 2624138
Unataka na wewe ukajifunze? Usipoteze pesa na muda njoo nikufundishe buree!!😁
😀😀 Upepo unabadirika asahivi muhimu unakuwa na vi BTC kadhaaa.. unaweza pata dhari kama flani 1 BTC ilifika hadi $ 65,000+
Yani ni yeye tu!!!!Atakachotaka, atapata!🍔🍟🍕🍹😛😛 huku mganga anapata na mojito...
Tuombe kwanza kabla sijaleta hayo mambo 😉 😉Dah!!!!🤔🤔🤔
Embu leta hayo mambo haraka!!
atataka nae M2 ndio utajua hujui 😀Yani ni yeye tu!!!!Atakachotaka, atapata!🍔🍟🍕🍹
Sorry, I meant maombi!😁Tuombe kwanza kabla sijaleta hayo mambo 😉 😉
Afanye kazi zake kijanja zaidi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣atataka nae M2 ndio utajua hujui 😀
maombi, kazi sawa na ndoto kutimiaSorry, I meant maombi!😁
Mjep selfika mzee
Yaani niko kwa wakala hapa afanye chapToa tule hela!!! Mteja Mjep yuko anasubiria tu Software afanye muamala.🤓
We nia yako kunidumaza, sitaki na sikupeleki😆..Nataka niwazingue!!!
Wasikukuze haraka mtoto mzuri.
Hela hii hapa and 100 othersYaani niko kwa wakala hapa afanye chap