Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahhh wapi! Wale jamaa walikua wababaishaji nikaona I might as well count my losses badala ya kujipa moyo alafu niendelee kuwa dissapointed. 😔

Mwambie ajaribu kucheki basi kama anaweza.🙂
Ilete kwanza hiyo, nikufanyie mambo alafu M2 ndio tunaiwekea vitu vizito haswaaa... hata siku nikipita nayoo.. unaenda pale unapiga coffee huku unaingalia nilipo ificha 😉😉 sema hata apple walikuhujumu tuuuu
 
Hii tuachane nayo ishachoka!

Haki nikichukua M2 ukapita nayo nakuloga!!!😁😁 Na tangazo lakutafuta mganga ntaweka humu humu.😆
 
Back
Top Bottom