Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani na wewe mgonjwa?
Ebu tuone..!
Mi ni mgonjwa mbishi!!!Nilipewa miaka hiyo, nikavaa for a while alafu nikaacha mpaka leo. I guess macho yameji-repair yenyewe. So navaaga dark ones tu kwaajili ya mwanga.
 
Hiyo dawa ulipewa unigawie
Maana huu ugonjwa siupendi unaninyanyasa kwa kweli
Poleee!!! Hata sikutumia dawa yoyote, I guess nilipata bahati tu. Ila kuna siku ntaenda kuangalia nione kama yako sawa 100%.

Inabidi uvae muda wote???
 
Haya ya kwangu yalishakua changamoto
Hadi kitandani nalala nayo ili niwaone mbu vizuri😁😁
 
Shangazi unanichekeshaga sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Daaah

#JF SIHAMI#
Halafu wee dogo shangazi who?what?which?
Sasa nimeelewa lile file lako. Ni hivi ukiona nabebishana hadharani, hapo hamna kitu. Mwenye mali simuaniki hadharani. Selfika hapajui. So uliyemdhania, nimemjua relax... hamna kitu toa kwa file ye34nbe
 
Back
Top Bottom