Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usijareee mkuu Tukutane keshooo katika kushangilia wwananchii 💚💛🕺🚶🏻‍♀️!! Kwa sauti ya Beeb na Bantu Lady!
Umenichoka wewe
Yaani nishangilie gongo wazi mimi?

Ila Ama kweli Mungu hakupi vyote
Liyanga libayaa ila lina watoto visu haswa
Sijui niwatag au bas ngoja nikuachie kazi hiyo chawa wangu Antonnia
 
Aisee huyu ndiye anayesema anapita mlangoni upande upande kama crab (kaa) huyu si hata begani kwa naniliu anakaa.? Eti we Dr Lizzy njoo uelezee hapa. Jamani anayeweza kuyatoa maua haya nanunua
🤣🤣🤣

Begani kwa John Cena/The Rock ehhhh???KABISA!!!😄

100 others malizia hiyo software haraka, mteja mwingine huyu hapa!!🤑
 
Hana mdogo wake wa kike Dr!!
au nianze harakati za kufuga rasta

Ana kaka tu...ila ufuge rasta kwani we beach boy ??? Ongea tu vizuri na mimi nikupe huyu hapa.
20220627_020659.jpg
 
Back
Top Bottom