Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Partner in crime eeh 😂😂😂Pic❤️
Partner in crime eeh 😂😂😂Pic❤️
Noooooo😂Partner in crime eeh 😂😂😂
Then what ???Noooooo😂
Mungu mwema SanaCHino umenikumbusha hapo, nilikuwaga na kampani ya kutoka, ya kaka mmoja wa kichaga bwana. Rafiki sana, sasa siku hiyo sikuwa nataka kutoka kabisa.
Akasema twende hapo, nikaenda nilikunywa kupita my limit. Yaani yule rafiki aliniambia kama hukufa ile siku, bado una maisha marefu!!!
Nilitoka pale London, kasi huwa anatabia ya kunisindikiza nyuma mpaka getini, mlinzi afungue geti naye anaondoka.
Ila hiyo siku nilimuachia vumbi 🤣🤣🤣🤣🤣 fikiria pale External palivyo chinja chinja usiku. Sikusimama nilikunja kama niko highway tu.
Magari mengine yote ilibidi yasimame, bila hivyo ningefia pale, asubuhi nauliza nimefikaje home? Sijui nimejikuta nimelala na ndiyo siku nilikunywa kupitiliaza. Umenikumbusha hii siku Chino!!!
Pic. 🥰Then what ???
Hata 🛥 ni usafiri jamani 😄😄😄Ilete niifanyie utaalamu kabla sijaondoka pale pale kijiweni au nije zenj ulipie dege na hotel 😉😉😉
Kesho.Pic. 🥰
Na nilishamuona uso kwa uso mara mbili, alikuwa anaimba dah. Muziki wa bongo stress hasa enzi zao hakukuwa na hela kwenye muziki kama sasa. Kumbe ulikuwa mitaa ile Chino vizuri sana.Mungu mwema Sana
Alitaka wa kina chino waje waone uumbaji huuu!
Sasa kitambo icho
Ungeniibukia makuburi tu hapo kanisani ndo nilikua naishi na mwanangu Sana 'mb dog' unamkumbuka eh mzee wa latifa.
Tonight was lovely. You are lovely. Sleep well.Kesho.
Inshallah
Nitaleta maelezo yake hapa kesho 🥂😀Wee kumbe!! 🤔
Ina faida gani hebu ning'ate sikio one time nijuee😊!
Aisee mpk mwamba alishoboka!Na nilishamuona uso kwa uso mara mbili, alikuwa anaimba dah. Muziki wa bongo stress hasa enzi zao hakukuwa na hela kwenye muziki kama sasa. Kumbe ulikuwa mitaa ile Chino vizuri sana.
But there are no regrets!Times are good or bad, happy or sad🐰🥕😅
Mnyama wa M2 Chip anakuwaje na perfomance yake? Hebu nielimishe, nina laptop yangu hapa ya Pentium III.Ngoja nimtie mkononi mnyama wa M2 Chip, ntamfungulia huko huko kwako.😁😁
Hapana ile kuonana tu, siwezi sema hapa naonana nao wengi kwa ishu nyingine 😄😄😄😄😄Aisee mpk mwamba alishoboka!
we mbantu wewe!
Au ulimfanyia timbwiri tu ili ajue uepo wako.
Si mnajua watu wenye mananii yenu nyie mna visa Sana hasa mtu akitaka ajue uwepo wenu
Alafu wewe....😄😄😄Mnyama wa M2 Chip anakuwaje na perfomance yake? Hebu nielimishe, nina laptop yangu hapa ya Pentium III.
Hongera mkuu 👍