Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
Hakika, nachagua mmoja nampendezesha ili anifurahishe. Kuna raha sana ukiwa kitandani na mwanamke asie na stressKeep it up
WiFi azidi kukupenda
Inatakiwa uwe na sautiWewe ni msema kweli, wengi wanakugeuza dady na dharau zinaanza
Aiseee nimekupenda bureHakika, nachagua mmoja nampendezesha ili anifurahishe. Kuna raha sana ukiwa kutanda I na mwanamke asie na stress
Kwa jinsi ninavyompanga mwanamke, ni ngumu sana kunigeuza lofa. Nampa masharti yangu mapema kabisa, ili nikiachana nae kwa tabia zake asilaumu.Inatakiwa uwe na sauti
Ukali kidogo.
Ukiwa mpole sana mwanamke anakugeuza lofa.
Mjep ubarikiwe sana kakaNamuona Mjep kwa mbališ
Bro,kuna siku nakumbuka nilikuwa nimefulia, ghafla muamala ukasomaš¤£, mdogo wangu chukua ya sodaš
Nilipiga goti kumshukuru Mungu š
Na line yangu sikuwa nayo, niliacha Sehemu.,,niliisaka ile line japo nilikuwa naumwa.
Mungu akubariki mno aisee.
Maisha mafupi Haya, hakuna ulazima wa kuwa na stress za kujitakiaAiseee nimekupenda bure
Endelea kumspoil
šššNamuona Mjep kwa mbališ
Bro,kuna siku nakumbuka nilikuwa nimefulia, ghafla muamala ukasomaš¤£, mdogo wangu chukua ya sodaš
Nilipiga goti kumshukuru Mungu š
Na line yangu sikuwa nayo, niliacha Sehemu.,,niliisaka ile line japo nilikuwa naumwa.
Mungu akubariki mno aisee.
šššš
Kabisa dearInapendeza sana
Hata kama uzalishwe ila mwanaume a play role ya ubaba .
Weee uongoMrembo kama wewe inatakiwa uwe mwananchi!
Umepika wewe?Wananchi zawadi yenu hiiš
Orange cake View attachment 2620631
Ndio alafu nimepika kwenye gesiUmepika wewe?
Ukweliii utapendeza zaidi!Weee uongo
Keki inavutia mno. Ila sukari ndiyo huwa yanitatiza.Wananchi zawadi yenu hiiš
Orange cake View attachment 2620631
Keki inavutia mno. Ila sukari ndiyo huwa yanitatiza.
Hongera kipenziNdio alafu nimepika kwenye gesi
Uko vizuri sana, hongera sanaNdio alafu nimepika kwenye gesi
Asante ni tamu sanaHongera kipenzi
Ni nzuri na mchambuko