Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Asante ni tamu sanaHongera kipenzi
Ni nzuri na mchambuko
Asante ni tamu sanaHongera kipenzi
Ni nzuri na mchambuko
Asante karibuUko vizuri sana, hongera sana
Gesi inavyojiongeza bora mkaaAsante ni tamu sana
Inaiva vizuri tu ila Inakuwa haibadilik rangi juu ila napenda haiwez unguaGesi inavyojiongeza bora mkaa
Nitafanya namna japo uniandalie ya birthday au unasemajeAsante karibu
Masha’allahWananchi zawadi yenu hii😌
Orange cake View attachment 2620631
Ilikupiga tukio😅😅Gesi inavyojiongeza bora mkaa
Oo hapo kweliInaiva vizuri tu ila Inakuwa haibadilik rangi juu ila napenda haiwez ungua
Mkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi 😂😂😂Ilikupiga tukio😅😅
Pole sana.Mkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi 😂😂😂
Mkaa umelowana ni balaa
Niaje jombaaa, uko gudOi oi ,wana selfika
AsantePole sana.
Karibu kipenzMasha’allah
Kuna oven za mkaa haziunguzi.Asante
Hadi siupendi mkaa 😂😂😂
😂😂 Kunasiku nilipika Kwa gesi ilipoiva nikaitoa nipate Ile brown juu nikaweka mkaa ikaungua siutak tenaMkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi 😂😂😂
Mkaa umelowana ni balaa
Kumbe eehKuna oven za mkaa haziunguzi.
Yah lkn inaiva km ulivoionaOo hapo kweli
Haiwi golden brown
Chips zangu pendwa ila kimini Kiko vyedii😍