Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo linalokatisha tamaa ni kutaka shida zote tuzimalize sisi, tukiwa tumeoana sawa Ila wapenzi kuwe na mipaka.
Okay , kuna mipaka kwa dating ila muhimu sana ke asiwe anamtegemea sana me .

Mie siwezagi kuomba hela hata iwe kwa mzazi wangu au chochote .

nakuwaga mzito sana , usipotoa I'm okay with it ,silazimishi baki na pesa zako
 
Wapo wengi tu dada, shida ni wadada wengi wa sasa wanataka akiwa na mpenzi, shida zake zote ziishe hapo. Ila hakuna wanaume wenye ajili timamu asiependa kumhudumia mpenzi wake. Labda asiwe na pesa au shida binafsi.
Mpo wachache sana aisee.
Na wadada tusoomba hela tupo wachache .

Binafsi hata niwe na shida vipi siwezi omba hela.
Ila wabarikiwe wanaume wanaojua kujiongeza.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Okay , kuna mipaka kwa dating ila muhimu sana ke asiwe anamtegemea sana me .

Mie siwezagi kuomba hela hata iwe kwa mzazi wangu au chochote .

nakuwaga mzito sana , usipotoa I'm okay with it ,silazimishi baki na pesa zako
Nyumbani naomba,
Ila kwa mwanaume siwezi aisee..
Watu sijui huwa wanaanzia wapi kuomba.
 
Okay , kuna mipaka kwa dating ila muhimu sana ke asiwe anamtegemea sana me .

Mie siwezagi kuomba hela hata iwe kwa mzazi wangu au chochote .

nakuwaga mzito sana , usipotoa I'm okay with it ,silazimishi baki na pesa zako
Ukiwa na self control na ukapata mtu sahihi anaejua majukumu yake una enjoy sana.
 
Mpo wachache sana aisee.
Na wadada tusoomba hela tupo wachache .

Binafsi hata niwe na shida vipi siwezi omba hela.
Ila wabarikiwe wanaume wanaojua kujiongeza.
Wanaume kama amekupenda na unajiheshimu, haumchukulii kama danga, lazime akutunze otherwise awe na shida ya kipato
 
Ukiwa na self control na ukapata mtu sahihi anaejua majukumu yake una enjoy sana.
Kupata si mchezo na mje mpendane aisee shughuli tupu .

Ni kutoka kwa Danny kwenda kwa Michael mkishindwana uende kwa Ally .. Huo ujinga siutaki .
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Wanaume kama amekupenda na unajiheshimu, haumchukulii kama danga, lazime akutunze otherwise awe na shida ya kipato
Very true.

Na kama ananusa hivi,
Anajua tu kuwa huyu mtoto atakuwa ameishiwa..

Na kweli unakuta uliishiwa..
Unawaza na kuwazua itakuwaje, ghafla muamala huooo unasoma 😋

Mungu awabariki sana wanaume kama hawa.
 
20230513_170756.jpg
 
Back
Top Bottom