Sure. Wakati mwingine tunapima mwanamke wa kuoa kutokana na uvumilivu wake upande wa pesaKuomba kipaji
Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza.
Sure. Wakati mwingine tunapima mwanamke wa kuoa kutokana na uvumilivu wake upande wa pesaKuomba kipaji
Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza.
Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂Kuomba kipaji
Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza.
Unafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa"Kama mtu yuko moyoni, utaongozwa na hisia
Kabisa. Mimi napenda bby awe na furaha muda wote so nalazimika kum care kwa kila kitu Ila awe na self control tu.Hehhe unakataaje jamani
Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo .
Tupo, tunacheza na hisia tuMungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂
Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂Hehhe unakataaje jamani
Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo .
Mno aiseeMungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂
Hakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjaliUnafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa"
Kumbe uongo mtupu
Mwanaume wa hivi,unaachaje kufunga na kumuombea kwa Mungu?!
Wewe ni role model waoTupo, unacheza na hisia tu
Na ukikataa Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa.Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂
Hapohapo natenga na sadaka.
Kama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri.Wewe ni role model wao
Bodaboda wangu anakuletea.Shkamoo
Naomba juice
Wanapendeza waremboMno aisee
Vinginevyo wasiojua kuomba wangepauka hapa mjini😂
Tunakataa kuzuga tu😂Na ukikataa Najua ha maana Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa.
YaaniWanapendeza warembo
Mjini full kungara
KabisaHakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjali
Bora iwe hivyo maana kuomba omba nayo sio Poa. Bora utege mtego wako usubiri ajilete😂Tunakataa kuzuga tu😂
Baadaye shukrani zinamiminika na maombi juu
Keep it upKama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri.
Wewe ni msema kweli, wengi wanakugeuza dady na dharau zinaanzaKabisa
Ila wanawake wengine walivyo vichwa panzi
Akipendwa hivyo anabweteka na kuanza kutafuta challenge mpya.
Unajiuliza huyu dada Mungu ampe nini tena?