Ndio, zinakuwa kama yale majiko ya kuchomea nyama, Ila yenyewe inakuwa na mlango ukifunga unaivisha na joto tu.
Kumbe eeh
Kumbe eeh
UNapenda kula wewe, naomba ka mshikaki basi😋
Yeah nzuri sana inavutiwaYah lkn inaiva km ulivoiona
Ooh kumbe hauna pichaNdio, zinakuwa kama yale majiko ya kuchomea nyama, Ila yenyewe unakuwa na mlango ukifunga unaivisha na joto tu.
Ngoja nikutafutieOoh kumbe hauna picha
Duh nilipitwaTunasubiria mkuu usituangushe!🙇
Siku nyingine igeuze tena juu chini ili juu pia ipate ubrown.Ndio alafu nimepika kwenye gesi
Hongera snNdio alafu nimepika kwenye gesi
We hupendi???? Sio mshkaki, ni nyama tu ya kukausha.UNapenda kula wewe, naomba ka mshikaki basi😋
😊😊Chips zangu pendwa ila kimini Kiko vyedii😍
Wewe huyoooo😅plate imepangiliwa vizuri chakula kina mvuto....
mambo binti 😂Wewe huyoooo😅
Ooh nzuriKuna oven za mkaa haziunguzi.
😂😂😊😊
Vimini kwa afya ya miguu 😁🙈
😂😂👍We hupendi???? Sio mshkaki, ni nyama tu ya kukausha.
kesho church Mkuu , nakukumbushamambo binti 😂
umeshanikariri kiasi hicho 😂kesho church Mkuu , nakukumbusha
Mazuri sana