Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna zile za Bahati mbaya
Mimba inaingia bila kupanga .

Mwingine anawatekeleza wote , mtajijua wenyewe 😂😂😂 .

Ni kama kuachwa vile , unakaa unampenda weeh , Mara ghafla MTU kakuacha .
😂😂😂Unajikuta katoto kakikungalia sana tu unaanza muone sura kama babaake😂😂😂
 
Wananchiiii tuendelee kulewaaa💚💛💚💛
20230513_203753.jpg
 
Yeah upendo wa baba kwa mtoto ni unconditional .

Unamfanya awe na furaha muda wote , na kukua katika mstari ulinyooka .
Really Kuna bond nzuri sana katoyao hata mm na babaangu aisee ulikuwa humwambii kitu 😀
 
Bro nipo journey ya kuelekea 30,😂😂😂😂
Yaani shwa 30 ile , hata mchuchu sina 😂😂😂
Wee changamka sasa, mbona ma bro wengi hapa, huyu Gily je hasomeki??
 
😂😂😂Unajikuta katoto kakikungalia sana tu unaanza muone sura kama babaake😂😂😂
Na first born wanafanana na baba zao balaa .
Unaishia kumkumbuka jamaa tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom