Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
J mosi ni kufanya irrigation of heart😀😀😀
J mosi ni kufanya irrigation of heart😀😀😀
Report iwekwe hadharaniHawa Vijana hawafai kwa kweli, eti wametuma ombi maalumu kwa CAG aje akague vyeti vyangu vya kuzaliwa 🙆♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwa nn sasahapana aisee 😂
au sio unaringa huli mihogo 😂Mara ya mwisho kula ilikuwa mwezi wa 7 mwaka jana kwa mama ntilie aseee niliumwa tumbo vibaya mkuuuu sijawshi kanyaga tena hapo
Hivi sivili labda kama vimetengenezwa nyumbani la sivyo hapana aseeee kununua siwezi 🥵🥵🥴
Asante kwa chai mkuuu ☕☕🤣Hizo ni picha za kijana wangu wa mwisho kuzaliwa, you can now imagine umri nilionao Babu yenu 😜🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hakika CAG atawaprove wrongHawa Vijana hawafai kwa kweli, eti wametuma ombi maalumu kwa CAG aje akague vyeti vyangu vya kuzaliwa 🙆♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mwenyewe nipo namwagilia moyo kitambo na John Walker zangu 🥂🤗J mosi ni kufanya irrigation of heart😀😀😀
mi napenda maji au pombe, soda ni utoto😂Kwa nn sasa
Ndio Kiki mtoto kabisaaaaa kwako, wewe ni big sis kwangu😂Marhabaaaa
Kwamba wewe ni mtoto zaidi .
Nakula ya nyumbani sio ya mtaani 🤣🤣🤣🤣🤣.au sio unaringa huli mihogo 😂
Kuwa na imani kwa Wazee Mkuu, umri wetu huwa hatusemi uongo 😜🏃♂️🏃♂️Asante kwa chai mkuuu ☕☕🤣
Inaiva hiyo
kachumbari kwani mi mwanamke 😂 nagonga na maji....Inaiva hiyo
Mbo hamna kachumbari
Aisee mdogo wangu basi selfikaNdio Kiki mtoto kabisaaaaa kwako, wewe ni big sis kwangu😂
hizi ndo chipsi dume achana na viazi 😂Nakula ya nyumbani sio ya mtaani 🤣🤣🤣🤣🤣.
OK. Ila pombe na mihogo??mi napenda maji au pombe, soda ni utoto😂
Kwa kweli, kama tumepigana na vita ya Iddi Amini muhimu tupewe heshima yetu Wazee 😜Hakika CAG atawaprove wrong
Kati ya wazee humu ndani na wewe mmoja wapo
😅😅😅 Duuh noma sana aseeeKuwa na imani kwa Wazee Mkuu, umri wetu huwa hatusemi uongo 😜🏃♂️🏃♂️
Heheheh wanaume nyie mkiagaiza hats chipsi tomato kidunchu .kachumbari kwani mi mwanamke 😂 nagonga na maji....