Ana ubabu gani sasa😅😅Shikamoo Babu
Wape maneno ya busara
Ana ubabu gani sasa😅😅Shikamoo Babu
Wape maneno ya busara
Watu wanapenda uzee, halafu ukifika wanakataaNa tumemsanda sasa 😅😅😅😅
Wazee wetu hawa jamaniAna ubabu gani sasa😅😅
Hapana kwa kweli, mie mtoto wako dada😅Wazee wetu hawa jamani
Au na wewe mkubwa ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ulikua nomaa aseeeh. Mwenzio nikiwa class la NECTA, huwa nawaza paper lake tyuuh.Shule haijawah nitenganisha na michezo,, hiyo fom 4 natoroka shule naenda gym ya, magereza kwenye sparring
Aaaah wee thubutuuKafanye mazoezi wewe
Mie mwenyewe mtotoHapana kwa kweli, mie mtoto wako dada😅
Leta haraka!!!!🤤🤤🤤🤤Ugali dagaaa 😅😅😒😒😒
Tukutane uzi wetu pendwa kule, 😘😘☺️😋Leta haraka!!!!🤤🤤🤤🤤
Hawa Vijana hawafai kwa kweli, eti wametuma ombi maalumu kwa CAG aje akague vyeti vyangu vya kuzaliwa 🙆♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Shikamoo Babu
Wape maneno ya busara
Aweke na matembeleLeta haraka!!!!🤤🤤🤤🤤
Sijawahi ogopa exams[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ulikua nomaa aseeeh. Mwenzio nikiwa class la NECTA, huwa nawaza paper lake tyuuh.
Ko mda mwingi ni kupitia masomo.
Hizo ni picha za kijana wangu wa mwisho kuzaliwa, you can now imagine umri nilionao Babu yenu 😜🏃♂️🏃♂️🏃♂️Dogo yankiiieee kabisa ww unajiluta kizee
NA mirinda black
hapana aisee 😂NA mirinda black
Mara ya mwisho kula ilikuwa mwezi wa 7 mwaka jana kwa mama ntilie aseee niliumwa tumbo vibaya mkuuuu sijawshi kanyaga tena hapo