mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,793
mihogo inaenda na chai au maji, ila pombe na soda hapanaOK. Ila pombe na mihogo??
Ukishiba ndio unachukua kitu ya Jinro Soju
mihogo inaenda na chai au maji, ila pombe na soda hapanaOK. Ila pombe na mihogo??
Ukishiba ndio unachukua kitu ya Jinro Soju
🤣🤣kachumbari kwani mi mwanamke 😂 nagonga na maji....
Itawekwa hadharani lakini kujadiliwa itakuwa Bunge la Mwezi wa 9 😜🏃♂️🏃♂️Report iwekwe hadharani
tena hapa inaelekea naimaliza bila maji 😂Heheheh wanaume nyie mkiagaiza hats chipsi tomato kidunchu .
Mie niakiagiza nataka mazaga yote achali ya embe , ukwaju , mayoinaise , tomato .
😅😅😅😅😅 Duuh noma sana aseee
Mwastahili heshima , kwenye pension wawaongeze kidogoKwa kweli, kama tumepigana na vita ya Iddi Amini muhimu tupewe heshima yetu Wazee 😜
Aaah imenishindaga hiyo 😒😏😏hizi ndo chipsi dume achana na viazi 😂
Uone wewe tu lakini😂Aisee mdogo wangu basi selfika
Duh kavu sana hiyotena hapa inaelekea naimaliza bila maji 😂
Hilo neno kwa kweli, tumeitoa mbali sana hii Nchi 😊Mwastahili heshima , kwenye pension wawaongeze kidogo
nimeshazoea wala huniumizi 😂Totoo
Safi sanaUone wewe tu lakini😂View attachment 2620244
hapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje 😂Duh kavu sana hiyo
Pata Afya nyeusi basi 😂😂
Ewaaah hakikaHilo neno kwa kweli, tumeitoa mbali sana hii Nchi 😊
Zitoke wapi sasa dada?? Kakidevu keupe sio kama ma bro wangu humu😂 au niweke wigi🤔Safi sana
Pandisha juu kidogo tuone hata ndevu.
😂😂😂 we miss younimeshazoea wala huniumizi 😂
Uzuri wa hiyo mihogo haikabihapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje 😂
🤗Ewaaah hakika
wapi tena mbona sielewi😅😂😂😂 we miss you