Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
We mbona uliingia na kipensi?
Sasa Sauna wataingiaje na madela [emoji23][emoji23] huko ni towel na khanga.
Muhimu mwende na couple yako.
Au rafiki zako.
Ndio mnavua na sidiria [emoji3]
We mbona uliingia na kipensi?
Sasa Sauna wataingiaje na madela [emoji23][emoji23] huko ni towel na khanga.
Muhimu mwende na couple yako.
Au rafiki zako.
Ya nn kujibana bana 😄Ndio mnavua na sidiria [emoji3]
Ya nn kujibana bana [emoji1]
Huyu ni mdada au mkaka?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2619887
Ukiachwa achika komwe kama kona ya andazi pooo
yanazungumzika mbona 😂Sina uhakika😂😇
Ndio Imeanza dearrr hapa kwetu volleyball Sijui kama watatoboa labda mbio na boliii ! Huku milimani Madogo huwa wanakimbia balaaa 😊!!UMISETA imeanza?? Nilifika ngazi ya Taifa pale Mwanza, kupitia Volleyball,
Daaah nimekumbuka mbali sana.
Ukweli usemwe.yanazungumzika mbona 😂
Kwann kipenz hawana mazoezi?Ndio Imeanza dearrr hapa kwetu volleyball Sijui kama watatoboa labda mbio na boliii ! Huku milimani Madogo huwa wanakimbia balaaa 😊!!
ukweli gani tena unautaka mbona mi kila kitu nimekwambia 😂 au sijaelewa...Ukweli usemwe.
Hongera kipenz ulikuwa hatari sana mm sekondari nilikuwa nacheza kujifurahisha😀😀sikuwah kwenda popote ila chuo nimecheza michezo karibuyote netball,volleyball,handball na nilikuwa Niko vizuriUMISETA imeanza?? Nilifika ngazi ya Taifa pale Mwanza, kupitia Volleyball,
Daaah nimekumbuka mbali sana.
Mbona hujazeeka kama unavyosemaga 🤔🤔🤔
Hapana Mkuu, hiyo ni picha ya miaka almost 30 iliyopita.Mbona hujazeeka kama unavyosemaga 🤔🤔🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] volleyball na basketball ni tamuu mnoo, aaaah.Ndio Imeanza dearrr hapa kwetu volleyball Sijui kama watatoboa labda mbio na boliii ! Huku milimani Madogo huwa wanakimbia balaaa [emoji4]!!