cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,065
Mie kwenye michezo nilikua better, 4m 1 niliishia ngazi ya kanda, 4m 3 nkatoboa hadi Taifa, 4m 2 na 4 mie sikuwa nashiriki nilikuaga buzzy na masomo,Hongera kipenz ulikuwa hatari sana mm sekondari nilikuwa nacheza kujifurahisha[emoji3][emoji3]sikuwah kwenda popote ila chuo nimecheza michezo karibuyote netball,volleyball,handball na nilikuwa Niko vizuri
Advance mambo yalikua magumu, hata shule penyewe uwanjan nilikua naenda mara chache mnoo.
Chuo ndo kabisaa sina mda hata wa kusogea huko uwanjani mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]