mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
wapi tena mbona sielewi😅😂😂😂 we miss you
wapi tena mbona sielewi😅😂😂😂 we miss you
Kwani Boom bado hujapata au hela yote uliipeleka Kitambaa Cheupe 😅hapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje 😂
Me na shangazi yako Leniewapi tena mbona sielewi😅
Hebu tuone hivyo hivyoZitoke wapi sasa dada?? Kakidevu keupe sio kama ma bro wangu humu😂 au niweke wigi🤔
vile ni hatari.... hakuna mwanaume mbele ya viazi vitamu😂Uzuri wa hiyo mihogo haikabi
Ingekuwa viazi vitamu hapo
Angalia usije pata constipation 😂😂hapana nikizidiwa bomba hilo hapo nje 😂
mselfike hapa niwaone jamani😂Me na shangazi yako Lenie
Utafata tu maji ..vile ni hatari.... hakuna mwanaume mbele ya viazi vitamu😂
Wee mama atanichapa, kasura kangu kama remyHebu tuone hivyo hivyo
mwanaume hapati hivo vitu😂Angalia usije pata constipation 😂😂
Kwani yupo humu ????Wee mama atanichapa, kasura kwangu kama remy
vile silagi, najua tabia yangu ya kubugia itaniponza😂Utafata tu maji ..
Nione yako Kwanza dada😋Kwani yupo humu ????
Weka emoji
Navipenda sana vile hasa vya kuchemsha upate na mayai plus chain ya viungo awwwwh .vile silagi, najua tabia yangu ya kubugia itaniponza😂
vitamu sana, nakinai haraka....Navipenda sana vile hasa vya kuchemsha upate na mayai plus chain ya viungo awwwwh .
Jidanganyemwanaume hapati hivo vitu😂
dah, kumbe una smoke 😂 nimekupenda ghafla...
Sina picha mpyaNione yako Kwanza dada😋
basi basi badilisha mada😅Jidanganye
We fakamia miwanga tu