Naomba nikopeshe nyekundu moja babu kijanaπ¬View attachment 2618151
Kweli kilimo kinatufaa wazee tu, yaani ekari zote zile nimelima ndiyo naanza kulipwa hela nusu nusu hivi π
Hello Thursday π₯
Asante sana montaPole sana classmate
Asante sana shangazi.. acha apone apone nitie ya watoto wanne ππTunafurahi kukuona tena mjomba pole sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariii hii.Sema bado mapema
Ingekuwa June huko labda ..
Sie walijua kutukomesha walitaka tumalize mapema research , hujaprint wala kumaliza kazi unaambiwa kesho mnadefend
Picha siioni jamaniii, aaaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Wanawake inawasumbua sana hili jaribu .. ila fresh acha nianze kuandaa BAO la wanne ,ππWee ankoli twins wameondokaa?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaniii kwann?? Sipati picha shangazi anajisikiaje??
Dada ang alipoteza kichanga cha mwezi m1, jamani hadi leo ana tatizo la pressure.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huzunii jaman.
Duuuh poleee sanaa aiseee, [emoji24][emoji24][emoji24]Wanawake inawasumbua sana hili jaribu .. ila fresh acha nianze kuandaa BAO la wanne ,[emoji16][emoji16]
Weka picha nataka nikuone[emoji23]Mie nipooo jomoneeer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basha wangu kanikataza wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha nataka nikuone[emoji23]
We jau sana[emoji23]Basha wangu kanikataza wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah dear π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatariii hii.
EnheeeeeMuda wa naked selfie
We auntie upo vizuri βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈπππππππππππππ