Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .

Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo 😂
Kwanza Penseli na mshamba ni mbwa na paka hawapatani.!! 😹😹

Penseli mkorofi ni jamii ya Chiwawa yule..!!

Member mlikua wangapi?
 
Wii wangu huyo mashallah 😍😍😍
Rangi ya mtume inawaka mpaka kwenye giza nene.. 🔥

Kidoti OG kimekutoa sio kina Asha jibwa mpaka wachore na wanja wa maskala 😹

Naomba baibui wii na mi nivae stara..! 🥰
Baibui tu umepata my wiii❤️
Uwe na usiku mwema mpendwa.
 
Back
Top Bottom