Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah hakikaLuka 12:16-21
Neno: Bibilia Takatifu
16 Kisha akawaambia mfano, “Shamba la tajiri mmoja lilizaa sana.
17 Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Maana sina mahali pa kuweka mavuno yangu.’
18 Kisha akasema, ‘Nitafanya hivi: nitabomoa maghala yangu na kujenga maghala makubwa zaidi na huko nitaweka mavuno yangu yote na vitu vyangu.
19 Na nitasema moyoni, ‘Hakika nina bahati! Ninayo mali ya kunitosha kwa miaka mingi. Sasa nitapumzika: nile, ninywe na kustarehe.’
20 Lakini Mungu akamwambia, ‘Mjinga wewe! Usiku huu huu utakufa! Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea vitakuwa vya nani?’
21 Hivi ndivyo itakavyokuwa kwa mtu yeyote anayehangaika kujikusanyia utajiri duniani lakini si tajiri mbinguni kwa Mungu.”
Upo vizuri kwa neno ..
Mathayo 6:19-21
Mathayo 6:19-21 BHN
“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba.Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba. Maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa .