myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
AiseeWanaloga sanaaa
Ile midevu ya Benzema kuna namna
AiseeWanaloga sanaaa
Ile midevu ya Benzema kuna namna
Pilau shurti lijae kwasababu ya nyama na viazi.😁ila pilau unajazaga sahani wewe 😂😂😂
Fanya hivyo na ugali 😂😂Pilau shurti lijae kwasababu ya nyama na viazi.😁
Itakuwa una njaa ya kebab na pitta bread.Kwamba ni njaa ilikua inauma?😆😆😆
🥩 bana.
Bosiledi umepiga kelele hadi nimesikia huku Mwakaleli. How are you doing jamani? Nimemiss kuliona pembe la ng'ombeWanakuja Wataikutaaa ukiweka usiifute wizoo akeee.. wapii Saint Anne Mama pasta ametingwa sikuhizi haonekani kabisa Heaven Sent Beeb mnaitwaaa na wizoo hukuuuuu🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
Hii Kwa Leo ....more to come😅
Nkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamaniHello madam
Umemisika sana hapa
Uselfike tafadhali
Saint Anne kuja hapa ujieleze vizuriNkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee aje aeleze vizuri hadi tumuelewe. Nkamu nimeanza kurudi rudi; tatizo kila nikipita, picha hazifunguki na browser kwangu ni witooooooSaint Anne kuja hapa ujieleze vizuri
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mama mchungaji
Kweli umemisika sana sana
Nimefurahi kukuona
Usisahau kuselfika
Miss You.Nkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungajiAisee aje aeleze vizuri hadi tumuelewe. Nkamu nimeanza kurudi rudi; tatizo kila nikipita, picha hazifunguki na browser kwangu ni witoooooo
Nakazia.Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungaji
Ila nimefurahi kukuona hapa leo
Yaani nilivyokumiss hadi natamani niliee
Uselfike tafadhali
Captain; how have you been?Miss You.
Mama mchungaji Heaven Sent fanya namna tafadhaliNakazia.
Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungaji
Ila nimefurahi kukuona hapa leo
Yaani nilivyokumiss hadi natamani niliee
Uselfike tafadhali
[/QUOTE
Good, good, good, umepotea.Captain; how have you been?
Inabidi ahamie tu huku kwetu mpaka kina Max waweke app sawa.Suala la picha kutokufunguka limesababisha aisuse kabisa 🌚
Nimerudi nkamu, utaniona laivuuMama mchungaji Heaven Sent fanya namna tafadhali