myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Aisee..Na haya maji ya dawasa usiku ndo yanajaa .
Aisee..Na haya maji ya dawasa usiku ndo yanajaa .
Ase hii pombe inavunja vuoungo ase nguvu zote zimeisha mzeeNdo nakwambia sasa 🤣🤣🤣
HelloAisee..
Kwahiyo siku ile juliana ulivyo niona umeniona mtu wa kukaa kwa mama kweli ? 😂😂Lini umeanza kujitegemea?
Inabidi niibuke soon maana karibu roho itanitoka with all these comfort-food thrown at me! 😵😵I told you to pop in the other day haukutokea😆
Kweli ni kwa neema zake tu.Amen , ukilala na kuamka salama ni neema .
Habari yako Mkuu ??
Unalewa juice ya zabibu wewe mtu vipi?Ase hii pombe inavunja vuoungo ase nguvu zote zimeisha mzee
Chupa ya wine ipo wapi?E
mbu soma vzr bhna 😂😂
HujamboHello
🤣🤣🤣 Si ndo pigo zenu watoto wa Sinza uliruka ukutaKwahiyo siku ile juliana ulivyo niona umeniona mtu wa kukaa kwa mama kweli ? 😂😂
Ww boya sio juice ase aff sion vzr bhna nilijua pombe hii sio kali nietoka nayo kazini leoUnalewa juice ya zabibu wewe mtu vipi?
Pumbavuuuuu na umri uhuua🤣🤣🤣 Si ndo pigo zenu watoto wa Sinza uliruka ukuta
Kweli ni kwa neema zake tu.
Mi niko poa. Mambo ni vipi?
Poa aisee , siku zinaenda .Kweli ni kwa neema zake tu.
Mi niko poa. Mambo ni vipi?
Izi ni zile mpkaj jakaChupa ya wine ipo wapi?
Sijambo vipi wewe ?Hujambo
Kazini mnakunywa na pombe?Ww boya sio juice ase aff sion vzr bhna nilijua pombe hii sio kali nietoka nayo kazini leo
Mbona siku hizi hukuji Juliana?Pumbavuuuuu na umri uhuua
Jide aliimbaga siku hazìgandi. Siku zinavyosonga ndo tunalikaribia kaburiPoa aisee , siku zinaenda .
Nakusubiri kwa hamu sana Dr Lizzy.Inabidi niibuke soon maana karibu roho itanitoka with all these comfort-food thrown at me! 😵😵