Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
nyie wepesi, namimi nitaweka yangu 😂 nimemiss kukuona....
Umeanza lini uongo😂nifanyie wepesi, namimi nitaweka yangu 😂 nimemiss kukuona....
nyie wepesi, namimi nitaweka yangu 😂 nimemiss kukuona....
Umeanza lini uongo😂nifanyie wepesi, namimi nitaweka yangu 😂 nimemiss kukuona....
kweli, umesema hutaki nimependekeza tufanye deal; yours for mine....😂 unakubali deal au unakataa😂Umeanza lini uongo😂
Itoshe kusema nafanana na Mandonga, utasema ni twins.I will Tena?🥺
Kweli nanyanyasika Mimi🤕
😅😅Kwa sauti ya wizoooUwe na kazi njema mamii kwa sauti ya Saint Anne
Hicho kiwali hata Depal hashibi.
Eendiwoooooooo... Wizo ako alikua anakuulizia sana !!😅😅Kwa sauti ya wizooo
Ahahahahah wewe mlafi bhnaHicho kiwali hata Depal hashibi.
Mbona maharage kidunchu, kwani umeomba Kwa jirani?
Hivi wewe huo msosi si wa mtoto wa miaka 4 😅😅😅
🤗🤗
Ila ukila tambi unakula nyingi sio??Ahahahahah wewe mlafi bhna
😅😅Kwani Bado Huwa mna fanya hizo mamboEendiwoooooooo... Wizo ako alikua anakuulizia sana !!
Nimekusubirijeee uje kutubless dearrr!!
Karibu teinnaaa selfikaa!!
Kam kauwaaaaa kuselfika kama koutreee tumemiss kukuonaaa T akee!😅😅Kwani Bado Huwa mna fanya hizo mambo
Siyapendi nikula tu bas na mboga ya majini leo nilikosaMbona maharage kidunchu, kwani umeomba Kwa jirani?
JamaniView attachment 2615845
Unasherekea bday hujala keki pole pooo hyo siyo bday ni kongamano
Keki mbaya kama washawasha cute lady ulaaniwe View attachment 2615852
Keki imepooza kama ya bure mxieww![]()
WeeeeKam kauwaaaaa kuselfika kama koutreee tumemiss kukuonaaa T akee!
Acha utani bas ase 😂😂 ahahaa msos mwingi sanaHivi wewe huo msosi si wa mtoto wa miaka 4 😅😅😅