Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,500
- 65,862
Hapana nilimujua wakat natoka jobKazini mnakunywa na pombe?
Hapana nilimujua wakat natoka jobKazini mnakunywa na pombe?
Mimi niko salama kabisaSijambo vipi wewe ?
Wewe sikuiz una kampan nyingine ila soon nitakuwa nakuja wavuvi si wamefugiwaMbona siku hizi hukuji Juliana?
Hicho kinafikirisha sanaJide aliimbaga siku hazìgandi. Siku zinavyosonga ndo tunalikaribia kaburi
Great , uselfike MkuuMimi niko salama kabisa
Sawa endelea kuumwagilia kijana maisha ndo haya haya🥂Hapana nilimujua wakat natoka job
Sisi wakulima tunaselfika baada ya mavuno jirani..Great , uselfike Mkuu
Si mwezi ujao ndo mnavunaSisi wakulima tunaselfika baada ya mavuno jirani..
Ndio tunapendeza.
Nyumban unakuja lini tenaDawa
Sawa endelea kuumwagilia kijana maisha ndo haya haya🥂
Haswa...Si mwezi ujao ndo mnavuna
Hii ndio wine yenye boks lakeNaona unakunywa juice!
Oh my , I can't wait for JuneHaswa...
2. Timotheo 3:1Hicho kinafikirisha sana
Siku zinaenda , tunafika miezi sita hakuna jambo ulilofanya .
So true2. Timotheo 3:1
Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu.
So true
Nikifikiria kuwa vyote tunavyofanya duniani ni meaningless ni kama kufukuza upepo tu .
Ngoja tuangalie weekend ya jpili hapoNyumban unakuja lini tena
Jichanganye na watu. Tunatazamia ugeni wa kutosha ndani ya kipindi hikiWewe sikuiz una kampan nyingine ila soon nitakuwa nakuja wavuvi si wamefugiwa
Ahahahah ila sas uko mbali ase inabidi nisije na gari tutatumia iloJichanganye na watu. Tunatazamia ugeni wa kutosha ndani ya kipindi hiki
Ndio maana ulikuwa unaleta ugumu, kazi ikinifurahisha tunatoka kwenye kebab tunaenda kwa Salt Bae kula ribs.Siku ya nikimaliza research nipeleke nikale kwanza kebab na pita bread ndio tuendelee na maongezi.