Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Ndio matokeo ya kazi za kujitolea 🥴🥴Itakuwa una njaa ya kebab na pitta bread.
Usijali we maliza research.
Ndio matokeo ya kazi za kujitolea 🥴🥴Itakuwa una njaa ya kebab na pitta bread.
Usijali we maliza research.
Mama mchungaji hivi umeshuhudia kilio cha Waitara leo kweli??Em lia nikuone nkamu🤣🤣
Aisee ndiyo najaribu kutumia browser hapa; nahangaikaje. Picha coming soon
HakunipaNkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkamu acha mbwembweMama mchungaji hivi umeshuhudia kilio cha Waitara leo kweli??
Mimi nitalia mara 2 ya pale
Fanya namna tafadhali
Nitajigalagaza hapa ujue....







Umetususa sana, tu bless pls.
Kabisa
Nafanya mchakato hapa🤗🤗Umetususa sana, tu bless pls.
Kabisa
Akaona tabu kunipa vocha ya kukupigia
Hapo nisahau tu.Nafanya mchakato hapa🤗🤗
Kwamba huna Imani na Mimi au?Hapo nisahau tu.
Nibless mommy.Kabisa
Akaona tabu kunipa vocha ya kukupigia
Kanasema uongo haka ka Saint AnneDaah ndiyo maana nikaona kimya
Alooo😍🔥Hii Kwa Leo ....more to come😅
Kwani sikufaham?Kwamba huna Imani na Mimi au?
Mama Pasta hana tabu,
Atatubariki
Kwani sikufaham?
HujanipaKanasema uongo haka ka Saint Anne
Hivi kametokea wapi tena usiku huu??
We Saint Anne sijakupa vocha wewe??..