Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] sawa dada angu mzuri mzuri
Nisubirie ninyoe mdogo wangu mzuri mzuri
Nisubirie ninyoe mdogo wangu mzuri mzuri
Acha kujimwambafai huku jeiefuuDisemba hii nakuja na mapazia na Handbags..[emoji41]
Hahahaha[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] sawa dada angu mzuri mzuri
Khaaaaah!!!Mefanya ajeee akii auntie!!
Huyo ni mtani wangu jamaani auntie
Mimi niko Mtwara huku
Teh teh teeeeh!! Hata mimi naona.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mihangaiko tu mama
Tukaribishane sasa!![emoji39][emoji39][emoji39]
Khaaaah!! Huyu mkeo mie kanishinda.
Wife Ndiyo amefanya ufundi wake mzee baba
Mmmmmh!!Panya sakayo mkwe
Nikija moshi anaaza kukimbiakimbia kama kuku anaetaka kutaga..[emoji41]
[emoji39][emoji39][emoji39]
Karma kiportable mwenzio huyu.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mfano nikiona labda unaanguka....ndio natumia hicho kibwagizo..
Ngoja nitajaribu[emoji16]Acha kunibania mimi jamani
Rudi hapa!
Tukaribishane sasa!![emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nifundishe basi jamani pozi la kusimama dear
Kwahiyo ndio kusema aliekuandalia siku ile ndio kaandaa leo?@sakayo
Mmmmmh!!