Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it


Lol hauwezi kuwa serious. Anyway, hayo hapo.

20191124_175559.jpg
 
Weeeee mie huwa naachwa nikiwa nyumbani siyo stendi,, nikiwa hapa hapa stendi naachwaje kizembe kwa mfano..

Tena bora hata ningekuwa ni mtu wa kuweka na kufuta hapo hapo kama Hawachi lakini wala,, wewe mwenyewe unajua vyenye picha zangu huwa zinakaa muda mrefu ndiyo nazifuta na ile ilikaa mno ila haukuiona..
Umeniambukiza huo ugonjwa wako ujue?
 
Khaaaaah!!!

Yupi sasa ni wako?
Watu8
Transcend
troublemaker
DiasporaUSA
Eli79
.........nk?
Niko singo auntie wangu jamaani....
Watu8 ni ...
T aliniacha zamani sana
Eli ni kaka yangu kabisaa jamani
Trouble ni mtani wangu mimi
DiasporaUSA naona kama anataka kunichumbia ila naogopa ndege so sitawezana naye....

Kwa sasa niko sssiiiinnngooooo!!!!
 
Back
Top Bottom