Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mwendo wa kupiga tuu kufanya window shop...

Kuna chimbo zamani mwanza lilikuwa linakimbiza saana panaitwa bonasari. Lilikuwa na watoto wakali saana. Sijui SASA hivi pakoje...

Watu wa mwanza wanaweza kunipa updated.

Mzee Baba twende Mwanza

Kapachino
Mwanza kitambo Sana mkuu
Since 2005 cc Aaliyyah
 
If only mfumo wetu wa elimu ungeboreshwa.😵

Bado hatujafikia kuwa na wasomi wanaoweza kupambana na soko la nje kwa kiwango cha juu kwasababu watoto wetu bado hawafundishwi ili waelewe, wanakaririshwa ili wafanye vizuri kwenye mitihani.

Wale waliopo kwenye shule za International kweli ndio wenye advantage. Huku kwingine inabidi wazazi tuweke juhudi za nyongeza.🥴
Upo Sahihi Mkuu

Ingekuwa kilimo changu kimenikalia vizuri ningejitahidi mtoto mmoja aende International school of Tanganyika, ada milioni 39 kwa mwaka.

Ofa hii nilipewa mimi kwakuwa ni Mkulima 🤪
 
7dcc8a7d-621a-42d9-a789-0d62b08eff03.jpg

[mention]Mzee wa kupambania [/mention] subir nitakupa mrejesho andaa geto kbsa na jezi yake ya UTO
JAMBAZI FC
 
Back
Top Bottom